Ida wa Herzfeld

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Ida katika dirisha la kioo cha rangi.

Ida wa Herzfeld (770 hivi – 4 Septemba 825), wa ukoo wa kaisari Karolo Mkuu[1] , alilelewa ikulu kabla hajaolewa na Ekbert, mtawala wa Saksonia nchini Ujerumani.

Alimzalia watoto watano na kumhudumia katika ugonjwa wake mrefu[2].

Baada ya kufiwa naye, alijitosa kuhudumia fukara kwa upendo na kusali kwa bidii[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4] .

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake [5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Bring-Gould, Sabine. "S. Ida, W.", The Lives of the Saints, J. Hodges, 1882, p.50
  2. Butler, Alban. “Saint Ida, Widow”, Lives of the Fathers, Martyrs, and Principal Saints, 1866
  3. https://www.santiebeati.it/dettaglio/91888
  4. Clemens Hillmann. Die Kirche und Grabstätte der heiligen Ida von Herzfeld. Herausgegeben von der katholischen Pfarrgemeinde St. Ida Herzfeld, dcv druck Werl, 2. erweiterte und aktualisierte Aufl. 2003.
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • (Kijerumani) Eduard Hlawitschka: Zur Herkunft der Liudolfinger und zu einigen Corveyer Geschichtsquellen, Rheinische Vierteljahrsblätter, 38, 1974, Seiten 92 ff. [147 ff.].
  • (Kijerumani) Franz Josef Jakobi, Zur Frage der Nachkommen der heiligen Ida und der Neuorientierung des sächsischen Adels in der Karolingerzeit in: Géza Jászai (Hrsg.), Heilige Ida von Herzfeld 980–1980, Festschrift zur tausendjährigen Wiederkehr der Heiligsprechung der heiligen Ida von Herzfeld, Münster 1980, S. 53 ff

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.