Bergisch Gladbach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukumbi wa zamani wa mjini Bergisch Gladbach.

Bergisch Gladbach ni mji uliopo nchini Ujerumani katika jimbo la North Rhine-Westphalia. Mji upo karibu na mji wa Cologne na una wakazi takriban 110,016 waishio katika mji huo.

Yaliyomo

[hariri] Jiografia

Mji wa Bergisch Gladbach upo mjini mashariki mwa Mto Rhine. Kilomita kumi ya mashriki ya mji wa Cologne.

[hariri] Manispaa jirani za mji huu

Kwa kuanzia kaskazini mwa mji huu, miji ya jirani na mji huu ni: Odenthal, Kürten, Overath, Rösrath, Cologne na Leverkusen.

[hariri] Historia

Makazi ya awali yalianza tangu kunako karne ya 13, lakini mji uligunduliwa rasmi mnamo mwaka wa 1856.

Ngoma ya kale ya mjini Bensberg

Neno “Bergisch” linatokana na asili ya eneo lake la Berg na ulipngwa kuondolewa katika Mönchengladbach. Mnamo mwaka wa 1975, mji huu ukishirikiana na mji wa jirani yake wa Bensberg na ulipofikia idadi ya watu 100,000 mnamo 1977 mji ukapewa heshima kuwa jiji.

[hariri] Viungo Nje

Flag Germany template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bergisch Gladbach kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.