Ban Ki-moon
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ban Ki-moon (* 13 Juni 1944 mjini Eumseong katika Korea) ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa tangu 1 Januari 2007 akimfuata Kofi Annan.[1]
Ban aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje ya Korea Kusini kati ya 2004 hadi 2006. Tar. 13 Oktoba 2006 alichaguliwa na Mkutano Mkuu wa UM kuwa Katibu Mkuu.
[hariri] Elimu
Ban alisoma katika Kora Kusini hadi digrii ya kwanza ya B.A. kwenye chuo kikuu cha Seoul (1970). 1985 aliongeza digrii ya M.A. kutoka Chuo Kikuu cha Harvard (Marekani).
[hariri] Familia
Ban alioa na kuzaa mvulana mmoja na mabinti wawili. [2]
[hariri] Viungo vya Nje
- Ban Ki-moon kwenye BBC
|
|
|
|---|---|
|
Gladwyn Jebb (Uingereza) • Trygve Lie (Norwei) • Dag Hammarskjöld (Uswidi) • U Thant (Burma) • Kurt Waldheim (Austria) |
|
Cite error: <ref> tags exist, but no <references/> tag was found