Agnes Mtakatifu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nakshi za mawe za Agnes Mtakatifu katika kanisa la "Santa Agnese fuori le mura" huko Roma.
Agnes alikuwa bikira mwenye umri wa miaka 12 aliyekataa kuolewa kwa sababu ya imani yake ya Kikristo.
Kwa sababu hiyo aliteswa akauawa ama mwaka 250 ama mwaka 304 mjini Roma, Italia wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo. Sikukuu yake ni 21 Januari.
Habari zake hazieleweki waziwazi kama aliishi wakati wa Kaisari Decius au wakati wa Kaisari Diokletian ambao wote wawili waliamuru mateso ya Wakristo.
[hariri] Viungo vya nje
Wikisource ina maelezo kamili yahusianayo na makala hii:
| Wikisource has the text of the 1911 Encyclopædia Britannica article Agnes, Saint. |
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- The Life of St. Agnes of Rome, Virgin & Martyr of the Catholic Church
- NewAdvent.org, Catholic Encyclopedia: St Agnes of Rome
- Satucket.com, St. Agnes of Rome
- Blogspot.com, St Agnes in literature
- Aug.edu, "St. Agnes" in Christian Iconography
- "Of Saint Agnes" from the Caxton translation of the Golden Legend
- Remarks on the feast of St. Agnes from St. Ambrose of Milan, On Virgins
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Agnes Mtakatifu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |