Mwanzo

Kutoka Wikipedia

Karibu Kwenye Kamusi Elezo ya Kiswahili
Karibu kwenye Wikipedia ya Kiswahili!

Wikipedia ni mradi wa kuandika kamusi elezo kamili na sahihi ya maandishi huru.

Kila mtu anaweza kuhariri makala yoyote, kutoa makosa ya lugha, kutohoa maneno na kuendeleza na kukuza makala, kwa kuandika kwa ufupi au kwa urefu. Angalia Msaada wa kuanzisha makala ili ujifunze unavyoweza kuhariri au kusanifisha ukurasa. Usisite kushiriki; kwa sababu huu ni mradi wa ushirikiano, na hautaisha kamwe. Kamusi elezo itaimarika vizuri zaidi kila wakati. Angalia ukurasa wa jumuia, ukurasa wa jamii, na ule wa makala za msingi za kamusi elezo ili kung'amua unaweza kufanya kazi zipi ili kuboresha Wikipedia.

Leo ni tarehe 16/05/2008, na mpaka sasa tuna makala 7,066 katika kamusi elezo hii.

Miradi inayoshirikiana

Meta-Wikipedia - Wikidondoa - Wikivitabu - Wikichuo - Wikihabari - Wikikamusi

KAMUSI ELEZO

Makala maalum:

Emma Goldman

Emma Goldman
Emma Goldman

Emma Goldman (27 Juni 186914 Mei 1940) alikuwa akifahamika kama mfuasi wa utawala huria wa mwshoni wa karne ya 19 hadi katikati ya karne ya 20.

Imani

Emma Goldman alikuwa mfuasi wa utawala huria (utawala huria ni nadharia ya siasa inayosema siasa na sheria havitakiwi), hivyo hakuwa anapenda serikali. Katika fikra dhaker alipendelea mtindo wa ukomunisti usiotia uzito kwa serikali na dola.

Aliamini kwamba watu wanapaswa wawe na maisha yao wenyewe, hivyo kila mtu atakuwa sawa na mwenziwe. Pia alikuwa mstari wa mbele katika kutaka haki sawa kwa wakinamama na alikuwa mtu wa kwanza kulilia haki za mashoga. Goldman pia alikuwa Mkanaji Mungu.

Goldman alikuwa akitetea sana mambo ya kutumia ubavu kwa ya imani ya kuleta mapinduzi halisi katika jamii, lakini baadaye alibadilisha kauli hiyo na kudai kwamba ubavu utatumikia katika kujilinda mwenyewe na si vinginevyo.

Ujenzi

Ujenzi - Usanifu -

Usanii

Fasihi - Ushairi - Bombwe - Ngoma - Uchoraji-

Lugha + Isimu

Kiswahili - Sheng - Lugha za Kibantu - Kiingereza - Lugha za Kirumi - Kiesperanto -

Jiografia + Historia

Mmomonyoko - Afrika - Shaka Zulu - Mapigano ya Adowa - Reli ya Uganda - Madola -

Sayansi + Teknolojia

Akiolojia - Falaki - Biolojia - Kemia - Fizikia - Tiba - Elimu - Lugha - Hisabati - Sayansi - Teknolojia

Jumuiya

Sheria - Siasa - Dini - Utabiri wa nyota

Wikipedia kwa lugha nyingine


Miradi inayoshirikiana
Kamusi elezo ya Wiki ni kamusi elezo huru iliyo chini ya Shirika Lisilo la Kiserikali la Wikimedia Foundation, ambalo linasimamia miradi mingine mbalimbali ambayo imeorodheshwa hapo chini:
Wiktionary
Kamusi na Tesauri
Wikibooks
Vitabu vya bure na Miongozo ya kufundishia
Wikiquote
Mkusanyiko wa nukuu
Wikisource
Nyaraka huru na za bure
Wikispecies
Directory of species
Wikinews
Habari huru na bure
Commons
Shared media repository
Meta-Wiki
Wikimedia project coordination
Vifaa binafsi