Zuberi Katwila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zuberi Katwila
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 11 Oktoba 1982
Mahala pa kuzaliwa    Tanzania
Nafasi anayochezea Kiungo wa kati
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Zuberi Katwila (alizaliwa 11 Oktoba 1982),alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania, ambaye alicheza kama kiungo wa kati.Mwenye msimamo katika shughuli yake ya mpira.

Klabu[hariri | hariri chanzo]

Katwila alichezea klabu ya Mtibwa Sugar F.C. tangu mwaka 1999 hadi kustaafu kwake mchezo wa kandanda mwaka 2013.[1]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Alishiriki mashindano mbalimbali ya Kimataifa katika Timu ya Taifa ya Tanzania, ikiwa ni pamoja na nusu fainali ya kombe la CECAFA 2002 dhidi ya Rwanda, ambapo Tanzania iliibuka na ushindi wa mabao 3 - 0.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Benjamin Strack-Zimmermann. "Zuberi Katwila (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-16. 
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "CECAFA Cup (2002) | Final Tournament | Semi Finals". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-16. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zuberi Katwila kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.