Zola (mwanamuziki)
Mandhari
Bonginkosi Dlamini (alizaliwa Aprili 24, 1974) anajulikana kama Zola 7 ni mwanamuziki , mwigizaji, mwandishi na mshairi wa nchini Afrika Kusini[1].
Maisha ya Awali
[hariri | hariri chanzo]Bonginkosi Dlamini alizaliwa tarehe 24 Aprili 1974 na kukulia huko Zola katika mji wa Soweto, unaojulikana sana kwa kiwango cha juu cha uhalifu. Ukosefu wa ajira, ulevi, na familia zenye mzazi mmoja ni kawaida sana katika eneo la Zola. Baba yake, Dlamini, anayeaminika kuwa ni mmoja kati ya watu wa ukoo wa Mchunu. Zola mwenyewe alitumikia muda gerezani kama kijana kwa kesi ya wizi wa gari.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mabuza, Nokuthula, Kwaito veteran Zola 7 returns to the music industry (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2023-02-26
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zola (mwanamuziki) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |