Kisiwa cha Kati (Turkana)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Ziwa la Kati)
Kisiwa cha Kati (Turkana) ni kisiwa cha Kenya kilichotokana na volikano, mita 550 juu ya usawa wa bahari.
Kinapatikana katika ziwa Turkana, kaunti ya Turkana.
Ni hifadhi ya taifa ya Kenya inayotambulikana na UNESCO kama mahali pa Urithi wa Dunia.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Orodha ya visiwa vya Kenya
- Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika
- Orodha ya milima ya Kenya
- Orodha ya milima ya Afrika
- Orodha ya milima
- Orodha ya volkeno nchini Kenya
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Kati (Turkana) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |