Ziwa Kundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ziwa Kundi (hata katika lugha nyingine linatumika jina hilo la Kiswahili) linapatikana katika Darfur Kusini, nchini Sudan, Afrika mita 460 juu ya UB[1].

Ni ziwa la kudumu[2] kwenye mdomo wa mto Ibrah, karibu na korongo la mto Bahr al-Arab.[3]

Ziwa linaenea kwa 20 square kilometres (7.7 sq mi) 1,200 hectares (3,000 acres) hadi 100–200 hectares (250–490 acres) kadiri ya wingi wa maji.[4]

Kina chake ni mita 2-3 tu.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. SD010 Lake Kundi. birdlife.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-06. Iliwekwa mnamo 6 August 2011.
  2. 2.8 Sudan. ramsar.wetlands.org 3. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-24. Iliwekwa mnamo 6 August 2011.
  3. Dumont, Henri J. (1 June 2009). The Nile: Origin, Environments, Limnology and Human Use. Springer, 480–. ISBN 978-1-4020-9725-6. Retrieved on 6 August 2011. 
  4. (1992) A directory of African wetlands. IUCN, 233–. ISBN 978-2-88032-949-5. Retrieved on 6 August 2011. 

Coordinates: 10°30′N 25°16′E / 10.500°N 25.267°E / 10.500; 25.267

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Kundi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.