Zhuhai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Zhuhai Nchini China








Zhuhai
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi China
Jimbo Guangdong
Tovuti:  www.zhuhai.gov.cn

Zhuhai (kwa Kichina: 珠海市) ni mji wa China katika jimbo la Guangdong.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, kuna wakazi wapatao milioni 1.4 wanaoishi katika mji huu.

Tarehe 23 Oktoba 2018 rais wa China Xi Jinping alizindua rasmi daraja la baharini refu kuliko yote duniani (kilometa 55) linalounganisha Hong Kong, Macau na mji wa Zhuhai upande wa China bara.

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Zhuhai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.