Zantel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Zantel (kifupi cha Zanzibar Telecom Limited) ni kampuni mojawapo ya uwekezaji, uvumbuzi na huduma kwa wateja iliyowahi kushinda tuzo.

Juu ya yote, ni moja ya kampuni za simu iliyotoa faida kubwa za mawasiliano ya simu nchini Tanzania.

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zantel kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.