Mvumbuzi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Uvumbuzi)
Mvumbuzi (kutoka kitenzi kuvumbua; kwa Kiingereza: inventor) ni mtu aliyefaulu kugundua, kubuni na kutengeneza jambo katika jamii kwa mara ya kwanza.
Si lazima awe msomi[1], tena siku hizi mengine yanavumbuliwa na akili mnemba[2].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ *Inventor. Encyclopædia Britannica. Retrieved 1 October 2017.
- ↑ Hornby, Gregory S.; Al Globus; Derek S. Linden; Jason D. Lohn (Septemba 2006). "Automated antenna design with evolutionary algorithms" (PDF). Space. American Institute of Aeronautics and Astronautics. Iliwekwa mnamo 2012-02-19.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Asimov, Isaac. Asimov's Chronology of Science and Discovery, Harper & Row, 1989. ISBN 0-06-015612-0
- Fuller, Edmund, Tinkers and Genius: The Story of the Yankee Inventors. New York: Hastings House, 1955.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mvumbuzi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |