Nenda kwa yaliyomo

Yussuf Haji Khamis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yussuf Haji Khamis (amezaliwa 23 Septemba 1964) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Nungwi kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017