Nenda kwa yaliyomo

Yuka Anzai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yuka Anzai (alizaliwa 14 Oktoba 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya JEF United Chiba inayoshiriki ligi ya Yogibo WE huko Japani. Yuka alicheza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi ya Yogibo WE mnamo 16 Oktoba 2021.[1][2]

  1. "Yuka Anzai".
  2. "Scoresheet" (PDF). weleague.jp. Septemba 2021. Iliwekwa mnamo 27 Aprili 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuka Anzai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.