Nenda kwa yaliyomo

Yetunde Ayeni-Babaeko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yetunde Ayeni-Babaeko (amezaliwa Enugu, Nigeria, 1978) ni mpigaji picha wa nchini Nigeria.

Baba yake ni Mnigeria na mama yake ni Mjerumani. Alihamia Ujerumani akiwa bado mtoto, akasomea huko na kupata elimu ya upigaji picha kutoka studio za Be huko Greven. Mnamo mwaka 2005 alirudi nchini Nigeria mnamo mwaka 2007, akafungua studio yake mwenyewe kwa jina la ‘’Camera Studios’’, makao makuu yakiwa ni Ikeja.[1]

Katika maonyesho ya mwaka 2014 kwa jina la 'Eko Moves', yaliyoandaliwa na Ayeni-Babaeko akishirikiana na shirika la Sanaa ya maonyesho la Nigeria (SPAN), ulitoa jukwaa lililowapa wacheza dansi maineo mengi jijini Lagos. Katika maonyesho yake ya mwaka 2019 kwa jina la 'White Ebony' liliwakilisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi.[2]

  1. Elizabeth Ayoola, Meet the Boss: Yetunde Ayeni-Babaeko, Camera Studios Archived 12 Novemba 2017 at the Wayback Machine., Connect Nigeria, 21 January 2015. Accessed 15 May 2020.
  2. Photographer Yetunde Ayeni-Babaeko spotlights Albinism with ‘White Ebony’, Premium Times, 23 May 2019. Accessed 15 May 2020.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yetunde Ayeni-Babaeko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.