Nenda kwa yaliyomo

Yemane Ghebremichael

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yemane Barya Ghebremichael

Yemane Ghebremichael (alijulikana sana kama Yemane Baria au Yemane Barya; Januari 21, 1949 - Novemba 5, 1997) alikuwa mtunzi na mwimbaji mashuhuri wa Eritrea. [1]

Utunzi wa nyimbo wa Yemane ulijitahidi kuakisi maudhui ya kile alichoona wakati wa Vita vya Uhuru wa Eritrea. Pia nyimbo zake zilikuwa na hadithi za mapenzi, safari, matumaini, uhamiaji na ukombozi. Mnamo 1975, alifungwa kwa tafsiri ya masuala kisiasa katika moja ya nyimbo zake. [2]

Nyimbo maarufu na albamu

[hariri | hariri chanzo]
  • Hadar girki (ሓዳር ጌርኪ)
  • Deqi Asmara (ደቂ ኣስመራ)
  • Wedebat Adey (ወደባት ዓደይ)
  • Asmera (ኣስመራ)
  • Zemen (ዘመን)
  • Meskerem (መስከረም)
  • Natsenet (ናጽነት)
  • Delay Selam (ደላይ ሰላም)
  • Aykonen Oromay (ኣይኮነን ኦሮማይ)
  • Wegiha'ya Meriet (ወጊሓ'ያ መሬት)
  • Mesob Ade (መሶብ ኣደ)
  • Ab Kulu Gobotat (ኣብ ኩሉ ጎቦታት)
  • Nay Meqabir Btsotey (ናይ መቃብር ብጾተይ)
  • Tezkoneley (ተዝኾነለይ)
  • Anbibeyo Debdabeki (ኣንቢበዮ ደብዳቤኺ)
  • Ab Sidet Zeleka (ኣብ ስደት ዘለኻ)
  • Kemeleki Zefkireki (ከሜለኺ ዘፍቅረኪ)
  • Yikielo Eye Ane (ይኽእሎ እየ ኣነ)
  • Gual Hagerey (ጓል ሃገረይ)
  • Bsrah Tegedide (ብስራሕ ተገዲደ)
  • Chira Feres (ጭራ ፈረስ)
  • Mealtat Newihuni (መዓልታት ነዊሑኒ)
  • Emo Ke Dea Hji Entay Ygeber (እሞ ኸ ደኣ ሕጂ እንታይ ይገ*
  1. Ph.D, Mussie Tesfagiorgis G. Eritrea (kwa Kiingereza). ABC-CLIO. ISBN 9781598842326.
  2. Mussie Tesfagiorgis G (2011). Eritrea (Africa in Focus). ABC Clio. uk. 255. ISBN 1-59884-231-5.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yemane Ghebremichael kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.