Nenda kwa yaliyomo

Yassine Meriah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yassine Meriah

Yassine Meriah (alizaliwa 2 Julai 1993) ni mchezaji wa soka wa Tunisia ambaye anacheza katika klabu ya Olympiacos kama beki.

Olympiacos[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 28 Julai 2018, Meriah alijiunga na klabu ya Olympiacos kwa wastani wa ada ya uhamisho ya 1,500,000, akisaini mkataba wa miaka minne.

Mnamo 2 Septemba 2018, alifunga goli lake la kwanza katika klabu hiyo katika mchezo ambao walifungwa wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani dhidi ya PAS Giannina.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yassine Meriah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.