Yasmin Fahimi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yasmin Fahimi


Member of the Bundestag for Stadt Hannover II
mtangulizi Edelgard Bulmahn

General Secretary of the Social Democratic Party
Leader Sigmar Gabriel
mtangulizi Andrea Nahles
aliyemfuata Katarina Barley

tarehe ya kuzaliwa 25 Desemba 1967 (1967-12-25) (umri 56)
Hanover, West Germany
chama SPD
mhitimu wa Leibniz University Hannover

Yasmin Fahimi (alizaliwa 25 Desemba 1967) ni mwanasiasa wa Ujerumani ambaye amekuwa akihudumu kama mwanachama wa Bundestag Ujerumani tangu mwaka 2017. Kuanzia Januari 2014 hadi Desemba 2015 alikuwa katibu mkuu wa Social Democratic Party (SPD). [1] [2]

Maisha ya mapema na elimu[hariri | hariri chanzo]

Fahimi alizaliwa Hanover . Baba yake ni raia wa Irani alikufa kwa ajali ya gari kabla ya yeye kuzaliwa; mama yake ni Mjerumani. Familia ya mama yake ilitoka Prussia Mashariki na kukimbia wakati wa vita vya Kidunia vya pili. Fahimi ana kaka mmoja mkubwa ambaye alizaliwa Tehran. Mama wa Fahimis, ambaye alikua akifanya kazi kwenye Wizara ya Sheria, aliwalea watoto peke yake. Alisomea kemia katika Chuo Kikuu cha Hanover kuanzia 1989 hadi 1998. [3]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yasmin Fahimi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Scally, Derek (3 June 2014). "No easy answer for Merkel on EU job". The Irish Times. Iliwekwa mnamo 27 September 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Anger Mounts as Germany Unearths Second U.S. Spy Suspect", Newsweek, 9 July 2014. 
  3. "Yasmin Fahimi - Munzinger Biographie". www.munzinger.de. Iliwekwa mnamo 2022-01-26.