Yacine Adli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yacine Adli (alizaliwa 29 Julai 2000) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa na Algeria ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Serie A ya AC Milan.

Kazi Yake Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Paris Saint-Germain Adli alicheza mechi yake ya kwanza ya kulipwa katika klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) tarehe 19 Mei 2018 katika mechi ya mwisho ya Ligue 1 msimu huu dhidi ya Caen. Alichukua nafasi ya Christopher Nkunku baada ya dakika 83 katika sare ya 0-0 ugenini.[1][2]

Bordeaux Tarehe 2 Julai 2018, Adli alitia saini mkataba wake wa kwanza na klabu ya PSG. Tarehe 31 Januari 2019, siku ya uhamisho wa dirisha dogo katika majira ya baridi kali la 2018–2019, Adli alijiunga na wapinzani wa ligi Bordeaux kwa mkataba wa miaka minne nanusu.[3][4]

AC Milan Tarehe 31 Agosti 2021, ilitangazwa kuwa Adli amesaini kwa miamba ya Serie A AC Milan kwa mkataba wa miaka mitano. Ada iliyolipwa kwa Bordeaux iliripotiwa kuwa Euro milioni 8. Alirudishwa kwa klabu hiyo kwa muda uliosalia wa msimu wa 2021-2022.[5]

Kazi Yake Kitaifa[hariri | hariri chanzo]

Adli alizaliwa nchini Ufaransa na wazazi wa Algeria.[6] Ana uraia wa Ufaransa na Algeria.[7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Caen vs. PSG - 19 May 2018 - Soccerway". soccerway.com. Iliwekwa mnamo 19 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Yacine Adli signe son premier contrat professionnel" [Yacine Adli signs his first professional contract] (kwa Kifaransa). Paris Saint-Germain F.C. 2 July 2018. Iliwekwa mnamo 11 June 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Margueritte, Matthieu (31 January 2019). "Officiel : Yacine Adli file à Bordeaux". Footmercato (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 1 February 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "PSG youngster Adli joins Bordeaux". FOX Sports Asia. 31 January 2019. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-01. Iliwekwa mnamo 1 February 2019.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. Möller, Isak (31 August 2021). "Official: AC Milan announce signing of Yacine Adli from Bordeaux plus subsequent loan". SempreMilan. Iliwekwa mnamo 11 June 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. "Yacine Adli : La pépite franco-algérienne affole l'Europe". 28 February 2018.  Check date values in: |date= (help)
  7. https://www.unfp.org/joueur/yacine-adli-21334/
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yacine Adli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.