Wodi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wodi la wagonjwa huko india

Wodi (kutoka Kiingereza "ward") ni jengo au chumba maalumu ambamo wagonjwa hupumzishwa, au kupata matibabu.

Inaweza kuwa katika zahanati au hospitali.

Mara nyingi inapokea wenye tatizo lilelile moja la afya: ugonjwa wa akili, maradhi ya kuambukiza n.k.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wodi kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.