Wingu maneno

Wingu maneno unafanyika kwenye R.

Wingu maneno kwenye maneno mengi.
Katika utarakilishi na takwimu, wingu maneno (kwa Kiingereza: tag cloud au word cloud) ni mchoro wa takwimu unaoonyesha maneno yanayotumika katika andiko. Wingu maneno unatumiwa pia kwenye tovuti ili kurahisisha utafutaji.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).