Nenda kwa yaliyomo

Wim Botha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wim Botha (alizaliwa Pretoria, 1974) ni msanii wa kisasa wa nchini Afrika Kusini.

Alikulia katika kitongoji cha upande wa mashariki wa Pretoria na kwa sasa anaishi Cape Town. [1] Mnamo 1996, Botha alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Pretoria akiwa na Shahada ya Sanaa maono. Amepokea tuzo mbalimbali kama vile ya Helgaard Steyn Prize 2013, Standard Bank Young Artist Award 2005, na tuzo ya Tollman Award 2003. [2]

  1. "A R T T H R O B / A R T B I O".
  2. "STEVENSON - Wim Botha".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wim Botha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.