Nenda kwa yaliyomo

Willy Qulwi Qambalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Willy Qulwi Qambalo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Karatu kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017