Nenda kwa yaliyomo

Wilfred Muganyizi Lwakatare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilfred Muganyizi Lwakatare ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Bukoba Mjini kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017