Wilaya ya Songwe
Mandhari
Wilaya ya Songwe | |
Mahali pa wilaya katika Mkoa wa Songwe | |
Majiranukta: 8°25′26″S 33°01′44″E / 8.4238°S 33.0290°E | |
Mkoa | Mkoa wa Songwe |
---|---|
Eneo | |
- Jumla | 16,070 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 229,129 |
Tovuti: http://www.songwedc.go.tz |
Wilaya ya Songwe ni wilaya mojawapo kati ya 5 za mkoa wa Songwe, nchini Tanzania, yenye postikodi namba 54100 [1].
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 229,219 [2].
Katika wilaya ya Songwe maeneo maarufu ni Mkwajuni ambako ndio makao makuu ya wilaya.
Saza ni eneo maarufu kwa uchimbaji wa madini na kuna mgodi wa Shanta Gold Mine, Kanga, Mbangala.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2020-04-06. Iliwekwa mnamo 2018-01-06.
- ↑ https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Songwe - Mkoa wa Songwe - Tanzania | ||
---|---|---|
Chang'ombe | Galula | Gua | Ifwenkenya | Kanga | Kapalala | Magamba | Manda | Mbangala | Mbuyuni | Mkwajuni | Mpona | Mwambani | Namkukwe | Ngwala | Saza | Totowe | Udinde |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Songwe bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Songwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari . Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno |