Nenda kwa yaliyomo

Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wikipedia:KWC 2009)
Kiswahili Wikipedia Challenge:   Kiswahili  ·  English


This page is about the Kiswahili Wikipedia Challenge, a contest running through January 2010. For an English description, visit this page.


Sisi kupanga mradi, Kiswahili Wikipedia Challenge kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Kenya ili waelimishwe kuandika makala kwenye Wikipedia ya Kiswahili. Kumbe!


Washindi wa Muda wa Tuzo Wametangazwa[hariri chanzo]

Pongezi kwa washindi wafuatao:

 • JKUAT - Limoke Oscar (Limoke oscar)
 • Strathmore University - Marko ekisa (Ivermac)
 • Chuo Kikuu cha Nairobi - Peter Kamero (Kamero)
 • IFM - Janeth Jonathan (Janeth J Jonathan)

Kumbuka, tarehe ya mwisho ya tuzo la muda lijalo ni tarehe 4 Januari! Heri na fanaka!


Mfano wa makala-orodha ya hukumu[hariri chanzo]

kutoka Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/SubmissionsSchools[hariri chanzo]

Makala na wanafunzi wa Wikipedia.


For a full list of individuals, see Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/Submissions/All.

Specific independent groups:


Sheria na miongozo[hariri chanzo]

Mwenendo[hariri chanzo]

 • Hakuna kudaganya. Watu ambao watakiuka sheria wataondolewa kutoka mashindano.
 • Kuacha maswali kuhusu mashindano kwenye ukurasa wa majadiliano


Kupata alama[hariri chanzo]

 • Tafuta kichwa cha makala unayotaka kuandika kuhusu kabla ya kuanza. Makala yakurudiwa hayatapokea alama.
 • Iwapo zaidi ya mtu mmoja watachangia kwa kiasi kikubwa kuhusu makala, alama zitagawanyishwa baina yao.
 • Iwapo utaboresha makala ya mbegu, utatunukiwa alama sawa na kama vile umeandika makala mapya.


Kusahihishwa[hariri chanzo]

 • Hapa kuna makala sampuli yenye thamani ya pointi 0.5, 1, 2, na 3 .
  • Hapa ni makala yenye thamani kubwa (karibu na makala yakuchapishwa. pointi 10?): Malaria
 • Kama washiriki wawili hawakubaliani kuhusu makala ...
 • Mahala pa kujadili maswali kuhusiana na usahihisho ...


Washiriki[hariri chanzo]

Kuna aina mbili ya washiriki: watu binafsi na vyuo vikuu. Timu za vyuo vikuu zinajumulisha wanafunzi wote kutoka chuo kikuu ambao wanashiriki. Kuna orodha ya mwisho ya wanafunzi washiriki ambayo inapelekwa kwa Google off-wiki, ambayo itatumika kuhakikisha timu.