Nenda kwa yaliyomo

Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/Submissions/udsm

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala na wanafunzi wa University of Dar es Salaam.


University of Dar es Salaam

[hariri chanzo]

edit or rate submissions

Article Author notes Pts Judge Comments
Muungano wa Afrika0.1MuddybJuhudi zaidi inatakiwa!
Nkrumah0MuddybMakala ilikuwepo! Alichoongeza hakikuwa na umuhimu.
OAU0MuddybHaujafanya badiliko lolote lile makalani.
Mukandala0MuddybSi mtu maarufu sana katika jamii. Wikipedia inaangalia umaarufu wa mtu. Hasa yule mwenye kupewa kipaumbele kwenye vyombo vya habari. Hii haiko sawa. Pole!
Msaada wao0MuddybMakala haieleweki. Unamzungumzia Nyerere au namana gani?

edit or rate submissions

Article Author notes Pts Judge Comments
Umoja wa Vijana wa Umoja wa MataifaTranslated from en article UNYA2MuddybHoya mwana nimekupatia mbili kwa sababu huja kaza kiviiile! Kama vipi komaa, kaka.


AIESEC2MuddybTranslate from en article AIESECHoya, babu ongeza juhudi.

edit or rate submissions

Article Author notes Pts Judge Comments
Mkurugenzi0.1SJnothing there so far.
Uchumi wa Kenya0.5NMa very narrow topic... only under kenyatta?

edit or rate submissions

Article Author notes Pts Judge Comments
Kiingereza2.5JK

edit or rate submissions

Article Author notes Pts Judge Comments
Rose_Mhandoworked with Kemyjr, translated from en Rose Mhando1.4EKFInclude some pictures


Matumizi ya ardhiworked with Kemyjr, translated from en Land use2.0JK


God_Will_Make_a_Way_-_Kali_ya_Don_Moenworked with Kemyjr, translated from en 1.5JA


I_Will_Singworked with Kemyjr, translated from en 1.5JA


God_Is_Good_-_Worship_with_Don_Moenworked with Kemyjr, translated from en 1.0JAWould be great if you translated the song titles, etc too. As is, the majority of the article is still in English

edit or rate submissions

Article Author notes Pts Judge Comments
Riwaya ya Blindness3MuddybUmejitahidi kwa kiasi kikubwa kuiboresha makala hii. Hivyo, unastahili pongezi. Kumbuka kutaja marejeo mara kwa mara katika makala.


Mwanza0MuddybHukumu juu ya makala ya Mwanza bado haijafanyika. Kweli, umeanzisha au umeboresha makala hii? Sioni lolote au alama yoyote kwenye makala ile. Jazia nyama kwenye mifupa (ahsante Kipala)!


FIJI0MuddybMakala haina muundo wa Wikipedia kabisa. Jitahidi kuboresha - angalau tupate la kusema!
Shule ya uandishi wa habari na mawasiliano ya ummasource, school of journalism and mass communication. 2.9MuddybMakala nzuri sana. Lakini, vichwa vimeandikwa kwa maandishi madogo. Pia, hakuna kitu kama Jamii. Ni muhimu sana. Jamii jamani jamii.


Edger Luhende NgelelaEdger Luhende Ngelela3MuddybUmeiboresha kwa kiasi kikubwa sana. Pia, hata kuweka vile vinavyotakiwa. Dhahili ulielewa ulichoambiwa ni nini. Tunafurahia sana na ongeza juhudi.
Joshua NkomoTranslated from en:wiki Joshua_Nkomo2.5MuddybBado kuna makosa madogomadogo. Hasa tatizo la sarufi.


Baltasar and BlimundaImetafsiriwa kutoka en:wiki1.5MuddybSehemu kubwa bado haileweki. Jaribu kutafsi neno kama TRIVIA na kadhalika. Pia, inaonekana hujaisafisha kiini kibovu cha GOOGLE TRANSLATE. Pole!


Lalibela, EthiopiaImetafsiriwa en:wiki2.9MuddybKuna baadhi ya maneno yamebaki kuwa ya Kiingereza. Kwa mfano: Dynasti na Emperor. Pia kuna vijisehemu ambavo vinatafsirika, lakini hujatilia mkazo kwenye tafsiri. Lazima uwe chachu jamani ili mambo yawe sawa! Ongeza juhudi.


Ben CarsonKutoka 2.5MuddybUmejitahidi sana. Hongera


Winnie Mandela0MuddybKuna uwezekano mkubwa wa makala hii kuwepo. Jaribu kutafuta zaidi.


Westlifeen:wiki 3MuddybUmepiga hatua. Ila punguza uvivu wa kutoweka viungo vya interwiki kwenye makala. Unajisahau sana kuwea interwiki. Dada, hiyo ni muhimu sana.


Where The Dreams Come True TourUmetafsiriwa kutoka en:wiki2.0MuddybUmepiga hatua. Ila bado kuna kuwa na kasoro za hapa na pale (hasa katika namna ya kutaja "virai" vya kimuziki)! Taratibu ndiyo mwendo, utafika!


Coast to Coast (album)Kutokaen:wiki2.9MuddybPunguza kuweka makorokoro yote yale ya Wikipedia ya Kiingereza. Unaweza kutafsiri kitu kama chati, historia ya matoleo, kurekodi (siyo lazima), na sehemu za single. Lakini ni hatua nzuri. Kingine: sio lazima kuchukua kichwa cha makala kama kilivyo kwenye en:wiki. Maana yangy hivi, umetafsiri makala ya wimbo wa My Love, lakini umeweka mabano ya (wimbo wa...) wakati hakuna makala nyingine ya My Love. Hii si lazima. Unaweza kuchukua jina moja kwa moja tu, bila kuweka mabano. Unatakiwa uweke mabano sehemu ambapo unahisi makala itakuwepo nyingine, dada yangu.


If I Let You Go2.5Muddyb


My Love (Wimbo wa Westlife)2.5Muddyb


Flying Without Wings2.5Muddyb


Swear It Again2.5Muddyb


I Lay My Love on You2.5Muddyb


When You're Looking Like That2.5Muddyb


Fool AgainKutoka Fool_Again2Muddyb


Uptown GirlKutoka Uptown_Girl3MuddybSafi sana. Hatua nzuri.


UnbreakableKutoka en:Unbreakable_(Westlife_song2.2Muddyb


I Have a DreamKutoka en:I Have A Dream (ABBA song)#Westlife version3MuddybSasa naona hatua zinaongezeka eeh! Ila usikate tamaa kama jinsi ulivyosema kwenye E-mail!


Mandy (Toleo la Westlife)Kutoka en:Mandy (Westlife Version)2.5Muddyb


Us Against the WorldKutoka en:Us Against The World (Westlife Song)3Muddyb


Queen of My HeartKutoka en:Queen of My Heart2.5Muddyb


What Makes a ManKutoka en:What Makes a Man2.5Muddyb


Tonight/Miss You NightsKutoka en:Tonight/Miss_You_Nights2Muddyb


Against All Odds (Take a Look at Me Now)en:Against All Odds (Take a Look at Me Now)#Westlife and Mariah Carey version3Muddyb


TurnaroundKutoka en:Turnaround (Westlife album)2Muddyb


Gifted Hands, The Ben Carson StoryMakala mpya3MuddybUmefanya vizuri. Sikutegemea kama ungeweza kuanzisha makala hii kupitia kitabu ulichosoma. Ni tegemeo letu kuwa mwandishi mzuri!


World of Our OwnKutoka en:World_of_Our_Own2Muddyb


More Than WordsKutoka en:More_Than_Words3MuddybKaza buti


Bop Bop BabyKutoka en:Bop_Bop_Baby1.5JK


AxumKutoka en:Axum3Muddyb


AdwaKutoka en:Adwa3Muddyb


Ezana2Muddyb


Yeha2Muddyb


The Karaoke CollectionKutoka en:The_Karaoke_Collection2Muddyb


Fly Me to the MoonKutoka en:Fly_me_to_the_moon2.5Muddyb


The Way You Look TonightKutoka en:The_Way_You_Look_Tonight2Muddyb


Allow Us to Be FrankKutoka en:Allow_Us_to_Be_Frank2.5Muddyb


AmazingKutoka en:Amazing2Muddyb


Something RightKutoka en:Something Right (Westlife song)2Muddyb


All Out of LoveKutoka en:All_Out_of_Love2.5Muddyb


Come Fly with MeKotoka en:Come_Fly_With_Me_(song)1.5Muddyb


I'm Already ThereKutoka en:I'm_Already_There2Muddyb


Delta la NileKutoka en:Nile_Delta3Muddyb


DamiettaKutoka en:Damietta2.5Muddyb


Usultani wa AdalKutoka en:Adal_Sultanate2.5Muddyb


Back HomeKutoka en:Back_Home_(Westlife_album)2Muddyb


IsmaïliaKutoka en:Ismaïlia2.5Muddyb


Daraja la Mfereji wa SuezKutoka en:Suez_Canal_Bridge2Muddyb


Ghuba ya SuezKutoka en:Gulf_of_Suez2Muddyb


Ziwa TimsahKutoka en:Lake_Timsah3Muddyb


FarasKutoka en:Faras2Muddyb


WashebaKutoka en:Sabaeans2Muddyb


AmarnaKutoka en:Amarna2MuddybMakala haijapangiliwa vizuri kabisa. Jitahidi kupunguza mchecheto wakati wa kuandika!


HawaraKutoka en:Hawara2.5Muddyb


AmharaKutoka en:Amhara_people2MuddybTatizo linaendelea. Punguza mchecheto.


Nicky ByrneKutoka en:Nicky_Byrne2.5Muddyb


Mark FeehilyKutoka en:Mark_Feehily2Muddyb


Shane FilanKutoka en:Shane_Filan2Muddyb


Kian EganKutoka en:Kian_Egan1Muddyb


Seasons in the SunKutoka en:Seasons_In_The_Sun#Westlife_version2.5MuddybKasoro ndogondogo nyingi mno!


When You Tell Me That You Love MeKutoka en:When_You_Tell_Me_That_You_Love_Me#Westlife_Version3Muddyb


EvergreenKutoka en:Evergreen_(Westlife_song)1.5Muddyb


No Place That Faren:No_Place_That_Far_(song)2Muddyb


What About Now (Daughtry song)Kutoka en:What_About_Now_(Daughtry_song)3Muddyb


Daytime FriendsKutoka en:Daytime_Friends1.5MuddybMakala inakosea kusema. Maelezo ya mwanzo yanataka ni albamu ya Kenny Rogers na si wimbo. Makala hii ni wimbo kwa Westlife tu, na si Kenny, dada. Umeula wa chuya!


World of Our Own (wimbo)Kutoka en:World_of_Our_Own_(song)2Muddyb


Face to Face (Albamu ya Westlife)Kutoka en:Face_to_Face_(Westlife_album)2Muddyb


The Love AlbumKutoka en:The_Love_Album_(Westlife_album)2.5Muddyb


ReleasedKutoka Released_(Westlife_album)1.5Muddyb


Westlife (albamu)Kutoka en:Westlife_(album)2.5Muddyb


Hey WhateverKutoka en:Hey_Whatever1.5Muddyb


Unbreakable – The Greatest Hits Vol. 1Kutoka en:Unbreakable_–_The_Greatest_Hits_Vol._13Muddyb


Ziara ya Face to FaceKutoka en:Face_To_Face_Tour1.5Muddyb


The Love TourKutoka en:The_Love_Tour1.5Muddyb


ObviousKutoka en:Obvious_(Westlife_song)1.5Muddyb


Where We AreKutoka en:Where_We_Are3Muddyb


I'll Be ThereKutoka en:I'll_Be_There_(The_Jackson_5_song)2.5NM-MuddybThe article had small mistakes which is normal for the newbie. I've correctd them!


Mariah CareyKutoka []3NM-MuddybWhy did you not translate the whole article? Muddyb: Imefanyika. The article got an improvement!! She made it.


Always Be My BabyKutoka []2.5NM-MuddybThe article has full criteria. It's deserve the best!


I Still BelieveKutoka []2.5NM-Muddyb


Anytime You Need a FriendKutoka []1.5NM


I Stay in LoveKutoka en:I Stay in Love2.5MuddybUmepiga hatua nzuri sana katika uandishi wa makala za muziki. Big up, mama!


If It's OverKutoka en:If_It's_Over1.8Muddyb


Bringin' On the HeartbreakKutoka []2.5Muddyb


One Sweet DayKutoka []2.5Muddyb


Mariah Carey (albamu)Kutoka2Muddyb[]


Vision of LoveKutoka []2.5Muddyb


Shake It OffKutoka []2.5Muddyb


Through the RainKutoka []2Muddyb


Thank God I Found YouKutoka []2.5Muddyb


Don't Forget About UsKutoka []2.5Muddyb


Just Stand Up!Kutoka []2Muddyb


There's Got to Be a WayKutoka []1.5Muddyb


Say Somethin'Kutoka []2JA


Honey (Wimbo wa Mariah Carey)Kutoka []1.5JA

edit or rate submissions

Article Author notes Pts Judge Comments
kiingereza2.0JK

edit or rate submissions

Article Author notes Pts Judge Comments
Ubingwa wa WWEtranslated from english article WWE Championship2MuddybMakala ina mineno mingi ya Kiingereza. Tena, yamebakiwa kuwa vilevile kama yalivyo bila hata kutoa mfano wa neno angalau tungejua ni nini. Je, kwa wale ambao hawajui sheria na taratibu za mchezo huu wataelewa nini? Tafakari!


Atomu na Nyukliasimakala mpya3MuddybLakini fikiria kuanzisha makala na kichwa chake. Kwa mfano nini maana ya "Atomu na Nyukliasi"? Hii ndiyo sababu tunataja mwanzoni mwa makala. Mfano: Atomu na Nyukliasi ni hali fulani ya.... ambayo inatokana na... Basi hivyo ndivyo tunavyofanya hapa kwenye Wikipedia!


Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwamakala mpya2.5MuddybJina la makala na kichwa chake vinapishana! Kifupi, hukuelezea katika hatua ya awali ya makala. Mfano: Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwa ni kampeni dhidi ya ukomeshaji wa utumwa -liongozwa na watu wa magharibi katika kukataza biashara hiyo. Halafu kadha-wa-kadha-wa-kadha. Si ni rahisi kurudia au kuandika upya kichwa cha makala? Basi anza upya - angalau tuweke maksi za juu! Hongera.
Utawala wa Kijiji - Tanzaniamakala mpya3MuddybHatua nzuri na ulivyoelezwa ulielewa! Basi hongera na jitahidi kurudia zile nyingine ambazo hazikuwekwa kichwa.


Watawala wa Bukini 1800-1880makala mpya3MuddybKumbuka kuweka kichwa cha makala.
Viungo Vinavyosafisha Mwilimakala mpya3MuddybJamani kichwa cha makala. Yaani, wewe unaweza sana, lakini vipi kaka kuhusu kichwa cha makala?
Menomakala mpya3MuddybKaka unatisha! Nimekubali kaka. Kiswahili safi, maandishi safi, lakini vipi kuhusu kichwa cha makala? Jamani mtindo huu mbaya. Karibuni makala zako zote hazina vichwa. Jitahidi kuweka vichwa.
Pwani na Bara ya Afrika Mashariki 1800-1845makala mpya3MuddybKichwa cha makala bado tatizo. Halafu una-katabia ka kuweka sahihi ya jina lako kwenye makala, kaka. Hii si sahihi. Kumbukumbu ya ukurasa inakutaja kama wewe ndiyo mwanzilishi na kadhalika. Hivyo usiweke sahihi, kaka eeh! Hongera tena.


Kuku Mashuhuri Tanzaniamakala mpya2.5MuddybMakala zako nzuri sana. Lakini tatizo kubwa ni ule mfumo wa uandikaji moja kwa moja bila hata kuweka kichwa cha makala mwanzoni mwake. Hii inapunguza alama, kaka. Zingatia kuanza na vichwa vya makala!
Halogenimakala mpya3.0JK
Neptunemakala mpya3.0NM
Misri (1805-1881)makala mpya3.0NM
Utungisho katika Wanyamamakala mpya3.0NM
Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakulamakala mpya3.0NM
Antibaotikimakala mpya3.0JA
Kipimajotomakala mpya2.5JA
Magonjwa ya Zinaamakala mpya3JA-MuddybNot translated/written by Kehengu (Muddyb): Yeye ndiye mwanzilishi wa makala hiyo. Japokuwa kulikuwa na makala nyingie yenye jina la maradhi zinaa - bado haikuwa babukubwa kupitia hii ya Moses!
Magonjwa ya Kukumakala mpya3.0JA

edit or rate submissions

Article Author notes Pts Judge Comments
Albino1.5JK

edit or rate submissions

Article Author notes Pts Judge Comments
Utalii1.1MuddybMakala fupi. Kwa mashindano haya, inataka makala ndefu kidogo. Ila ni vyanzo vizuri.
Chuo Kikuu cha Zanzibar3MuddybChanzo kizuri sana. Halafu naona umekimbia tena eeh! Ongeza juhudi.

edit or rate submissions

Article Author notes Pts Judge Comments
Uharibifu wa ardhiLand degradation2.5MuddybKaz nzuri, lakini mbona kimya tena?


Uchumiworked with Happymchiwa, translated from Uchumi Supermakets1.0NM


Mjaneworked with Happymchiwa, translated from Widow]--JAMakala hayajaandikwa bado

edit or rate submissions

Article Author notes Pts Judge Comments
Alizeti1.5JACould use some cleaning up
Korosho1.5JA
Ndimu1JA
Kaa_(Mnyama_mwenye_magamba)1JAAn example of the sentences you could improve on "Kaa ni decapod crustaceans wa oda ya "Brachyura" ambao kwa ukawaida wana mikia midgo mno"
Mamba_(mjusi)1JA
Sungura_pori1JA
Sungura2JA
Fisi1.5JA
Mbweha1.5JA
Kangaruu1.5JA
Mende1.5JA
Kima2.0BTNice article; the pictures are only links, hence don't show in the article; no categories or interwikis
Chui2.0BTLATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis
Panya_pori2.0BTLATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis
Nungunungu2.0BTLATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis
Panya2.0BTLATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis
Kifaru2.0BTLATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis
Konokono1.5BTLATE SUBMISSION (30 January) - not as extensive as the others; same problems with links
Pundamilia2.0BTLATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis
Tini1.5BTLATE SUBMISSION (30 January); good basic article, no links though
Papai1.5BTLATE SUBMISSION (30 January); good basic article, no links though
Plamu1.5BTLATE SUBMISSION (30 January); good basic article, no links though
Boga2.0BTLATE SUBMISSION (30 January); good extensive article; picture and reference links not in wiki-format though; no categories or interwikis
Nyanya1.5BTLATE SUBMISSION (30 January); good basic article, no links though