KMKM F.C.
Mandhari
(Elekezwa kutoka Wikipedia:KMKM F.C.)
Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, ama kwa urahisi KMKM SC ni klabu ya mpira wa miguu kutokea Zanzibar yenye makao yake kisiwani Unguja .
Kikosi cha sasa
[hariri | hariri chanzo]Kikosi cha Timu ya kwanza
[hariri | hariri chanzo]- As of 31 May 2024
Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.
Mafanikio
[hariri | hariri chanzo]- 1984.
- 1984, 1986, 2004, 2013, 2014, 2019, 2021, 2022.
- Nyerere Cup : 3
- 1977, 1982, 1983.
- Kombe la Zanzibar : 1
- 2002.
Matokeo katika mashindano ya CAF
[hariri | hariri chanzo]- Ligi ya Mabingwa Afrika : Michezo 5
- 2005 – Hatua ya Mtoano
- 2014 – Hatua ya Mtoano
- 2015 – Hatua ya Mtoano
- 2020 – Hatua ya mtoano
- 2022 – Hatua ya awali
- Kombe la Shirikisho la CAF : Mchezo 1
- 2011 - Hatua ya mtoano
Vidokezo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Wasifu wa timu - Jalada Kubwa Zaidi la Soka Ulimwenguni
- Wasifu wa timu - footballzz.co
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu KMKM F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |