Wanjiru Kinyanjui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wanjiru Kinyanjui (alizaliwa mwaka 1958) ni mshairi, mwandishi, mwanahabari na mtengenezaji wa filamu wa nchi ya Kenya.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Kinyanjui alipata shahada ya lugha ya Kiingereza na fasihi ya Kijerumani kabla ya kujifunza utengenezaji wa filamu katika chuo cha German Film and Television Academy katika mji wa Berlin.[1]

Filamu yake ya Battle of the Sacred Tree ya mwaka 1994, iliyozungumzia maisha ya mwanamke katika utamaduni wa kabila la Wakikuyu ilipata kuungwa mkono, kutengenezwa na kusambazwa na kampuni ya filamu ya Birne Film ya nchini Ujerumani na Flamingo Film ya Ufaransa.[2]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

  • Africa is a Woman's Name 2009
  • Battle of the Sacred Tree 1994
  • Black in the Western World 1992[3]
  • The Sick Bird, 1991[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Foluke Ogunleye, mhariri (2014). African Film: Looking Back and Looking Forward. Cambridge Scholars Publishing. uk. 257. ISBN 978-1-4438-5749-9. 
  2. Beatrice Wanjiku Mukora (2012). "Beyond Tradition and Modernity: Representations of Identity in Two Kenyan Films". Katika Jacqueline Levitin; Judith Plessis; Valerie Raoul. Women Filmmakers: Refocusing. Routledge. uk. 220. ISBN 978-1-136-74305-4. 
  3. 3.0 3.1 Ukadike, N. Frank (1994). "Reclaiming Images of Women in Films from Africa and the Black Diaspora". Frontiers: A Journal of Women Studies 15 (1): 102–122. JSTOR 3346615. doi:10.2307/3346615. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanjiru Kinyanjui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.