Wambugu wa Nyingi
Mandhari
Wambugu wa Nyingi ni mpiganaji wa Mau Mau aliyestaafu. Alizaliwa Nyeri mwaka wa 1928. Miongo mitano baada ya uhuru wa Kenya, alihusika katika kuipeleka Ufalme wa Muungano kortini[1].
Kabla ya kukamatwa kwake, alifanya kazi kama dereva wa trekta na alikuwa mwanachama wa KAU. Ingawa alishikwa, hakuwa mmoja wa wale waliokula kiapo[2] cha Mau Mau.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kenya's Mau Mau uprising: Victims tell their stories - BBC News". web.archive.org. 2019-08-01. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-01. Iliwekwa mnamo 2019-08-01.
- ↑ "Wayback Machine". web.archive.org. 2019-08-01. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-01. Iliwekwa mnamo 2019-08-01.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wambugu wa Nyingi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |