Nenda kwa yaliyomo

Walter Cartwright

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Walter Cartwright

Walter G. Cartwright (alizaliwa Januari mnamo mwaka 1871) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa Uingereza.

Alikuwa akichezea katika timu kadhaa kama vile Nantwich Town F.C., Heywood Centra na Crewe Alexandra F.C. kabla ya kujisajili na timu ya Newton Heath mnamo Juni mwaka 1895. Katika timu ya Newton Heath, ambayo baadaye ilipewa jina la Manchester United[1], alicheza kila nafasi ikiwa ni pamoja na golikipa.