Nenda kwa yaliyomo

Wakenya-Wamarekani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wakenya-Wamarekani ni kundi la Wamarekani wenye asili ya Kenya. Kufikia sensa ya 2021, kulikuwa na takriban watu 94,623 waliozaliwa nchini Kenya wanaoishi Marekani [1].

Wakenya-Wamarekani wengi wanaishi katika majimbo kama Minneapolis-St. Paul, Seattle, Texas, Maryland, Georgia, New York, North Carolina, na eneo kubwa la Washington, D.C.[2]

  1. Data Access and Dissemination Systems (DADS). "American FactFinder - Results". Factfinder2.census.gov. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Februari 2020. Iliwekwa mnamo 13 Desemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Kenyan Americans - History, Modern era, Significant immigration waves, Acculturation and Assimilation". Everyculture.com. Iliwekwa mnamo 13 Agosti 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)