Vuga (Filamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vuga ni filamu ya Nigeria iliyotengenezwa mwaka 2000 na kuongozwa na Simi Opeodu.

Ni filamu inayomuelezea mwanamume mmoja mwenye nguvu anayeamua kutumia nguvu zake kuwasaidia watu wa kijiji chake dhidi ya watu wabaya.[1] August mwaka wa 2018, waigizaji wakuu katika filamu hii walihesabika kama waigizaji bora zaidi wa filamu za Nigeria [2]

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Do you remember the movie 'Vuga'?". Pulse. January 12, 2016.  Check date values in: |date= (help)
  2. Izuzu, Chidumga. "10 memorable Nollywood movie characters of the 90s & 2000s". Pulse. Iliwekwa mnamo 2018-11-10. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vuga (Filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.