Visiwa vya Juan Fernandez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Robinson Crusoe Island, kilivyokuwa kati ya karne ya 19 na karne ya 20.

Visiwa vya Juan Fernandez viko katika bahari ya Pasifiki, vina asili ya volkeno na ni sehemu ya Jamhuri ya Chile.

Kwa jumla vina eneo la kilometa mraba 99.6 na wakazi 900 wanaotegemea utalii na uvuvi.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.