Vipengele vya miktadha ya sajili za lugha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jina lingine la sajili za lugha ni rejesta au rejista za lugha. Sajili za lugha ni matumizi ya lugha mbalimbali katika miktadha tofauti. Sajili hujikita katika vipengele vifuatavyo:

 1. Mada
 2. Uhusiano
 3. Wakati
 4. Umri
 5. Cheo
 6. Jinsia
 7. Cheo
 8. Taaluma
 9. Mazingira
 10. Kiwango cha elimu
 11. Lugha anazozijua mtu
 12. Tofauti ya kimatamshi
 13. Ujuzi wa lugha

Mwandishi ni Mwalimu Bonface Kiage Onchari