Nenda kwa yaliyomo

Mazungumzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mazungumzo ni utaratibu wa kuongea baina ya pande mbili, ambapo kwa kawaida wahusika ni watu.

Lugha ya mazungumzo huwa na mtindo na rejista zake, tofauti na matumizi mengine ya lugha.

  • TUKI 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mazungumzo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.