Vibonyezo vya mahesabu
Katika utarakilishi, vibonyezo vya mahesabu au vibonyezo mahesabu (kwa Kiingereza: numeric keypad) ni vibonyezo vya baobonye la tarakilishi vinavyotumiwa ili iandike tarakimu.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.