Nenda kwa yaliyomo

Venevisión

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Venevisión ni mtandao wa televisheni wa Venezuela unaomilikiwa na Grupo Cisneros.[1] Ilianzishwa mnamo Machi 1, 1961 na Diego Cisneros.[2]

Ni moja ya wazalishaji wakubwa wa telenovelas, pamoja na Televisa, Telemundo, TV Globo, Caracol Televisión, RCN Televisión, ABS-CBN na GMA Network.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lo Mejor de Venevisión desde 1961". Flickr. 2018-11-21. Iliwekwa mnamo 2024-03-18.
  2. "VENEVISIÓN EN SU 60 ANIVERSARIO: UNA HISTORIA QUE HABLA POR SÍ SOLA". La Movida Venezuela. 2021-03-01. Iliwekwa mnamo 2024-05-09.
  3. "Media Mogul Learns to Live With Chávez". The New York Times. 2007-07-05. Iliwekwa mnamo 2024-03-18.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Venevisión kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.