Nenda kwa yaliyomo

Vanessa Chikupila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vanessa Chikupila
Maelezo binafsi
Jina kamili Limbikani Vanessa Chikupila
Tarehe ya kuzaliwa 2 Aprili 1996
Mahala pa kuzaliwa    Malawi
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi

* Magoli alioshinda

Limbikani Vanessa Chikupila (alizaliwa 2 Aprili 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Malawi ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Blantyre Zero na Timu ya taifa ya wanawake Malawi.[1]

Ushiriki Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Chikupila aliichezea Malawi katika misimu miwili ya michuano ya Kombe la Wanawake la COSAFA ( 2020 na 2021 ).[2]

  1. Kambuwe, Mabvuto (14 Julai 2021). "Golden Boot race heats up in women's league". The Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-13. Iliwekwa mnamo 16 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Limbikani Chikupira - Soccer player profile & career statistics - Global Sports Archive". globalsportsarchive.com. Iliwekwa mnamo 2023-03-13.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vanessa Chikupila kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.