Nenda kwa yaliyomo

Václav Černý

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Václav Černý (alizaliwa 17 Oktoba 1997)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ucheki, ambaye anacheza kama winga katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ucheki.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Czechia - V. Černý - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Václav Černý kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.