Uwanja wa michezo ya Olimpiki wa Diamniadio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo ya Olimpiki wa Diamniadio ni uwanja wa michezo kwa shughuli mbalimbali kama vile mpira wa miguu, rugby na riadha ambao unajengwa Diamniadio, kuko Dakar, nchini Senegal. Utakuwa uwanja mkubwa wa timu ya Taifa ya Senegal. Uwanja utakua una uwezo wa kuingiza watu 50,000 na utajengwa na kampuni ya Summa International Construction.[1][2] Inatarajiwa mashindano ya vijana ya riadha (Youth Olympics) mwaka 2026 kufanyika hapo.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "La société turque Summa construira le stade olympique de Diamniadio pour 156 milliards F CFA" (kwa Kifaransa). Seneweb. 30 January 2020.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Standard Chartered Bank dans les gravats du futur stade olympique de Diamniadio" (kwa Kifaransa). Confidentiel Afrique. 22 January 2020.  Check date values in: |date= (help)
  3. "Où en est le Sénégal, à trois ans des Jeux olympiques de la jeunesse 2022 ?" (kwa Kifaransa). Rfi.fr. 6 February 2019.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo ya Olimpiki wa Diamniadio kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.