Uwanja wa michezo wa Uhuru (Bakau)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Uhuru ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi huko Bakau, nchini Gambia. Hivi sasa hutumika zaidi kwa mechi za chama cha mpira wa miguu,ingawa unatumika pia kwa riadha,matamasha, hafla za kisiasa, maonyesho ya biashara na sherehe za kitaifa. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 40,000.[1]

Mashabiki wa mpira wakifuatilia chezo wa Gambia v Guinea

Matukio mashuhuri[hariri | hariri chanzo]

kumbukumbu ya miaka 10 ya mapinduzi ya Julai 22[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Julai 22, mwaka 2004, wakuu wa nchi na waheshimiwa kutoka mataifa kadhaa ya Kiafrika, na waziri mkuu wa Taiwan walihudhuria gwaride kubwa la kuadhimisha miaka kumi ya kushika madaraka ya Yahya Jammeh | Rais Jammeh.[2] Jumamosi tarehe 18 Februari mwaka 2017, Sherehe za kuadhimisha miaka 52 ya Uhuru na kuapishwa kwa Mheshimiwa Adama Barrow Rais wa Jamhuri ya Gambia, zilifanyika katika Uwanja wa Uhuru Bakau, Gambia.

Sherehe za Maadhimisho ya Uhuru wa miaka 52 na Uzinduzi wa Mheshimiwa Adama Barrow Rais wa Jamhuri ya Gambia


Ona pia[hariri | hariri chanzo]

  • Box Bar Stadium (Banjul)

Viunga vya njee[hariri | hariri chanzo]

marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-23. Iliwekwa mnamo 2013-08-27.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  2. "Office of The Gambian President: State House Online: Yahya A.J.J. Jammeh". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2008-03-15.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Uhuru (Bakau) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.