Urfan Abbasov
Urfan Abbasov (alizaliwa 14 Oktoba, 1992) ni mchezaji wa soka wa Kiazabajani ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa timu ya Gabala F.K katika Ligi Kuu ya Azabajani, na timu ya taifa ya Azerbaijan.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Mnamo tarehe 4 Juni 2019, Abbasov aliondoka Gabala FK kwa ridhaa ya pande zote mbili, baada ya kuichezea klabu hiyo michezo 220, [1] akisaini mkataba na timu ya Sabail FK . [2].Mnamo 9 Juni 2021, Abbasov alirudi Gabala, akisaini mkataba wa mwaka mmoja. [3]
Kimataifa Tarehe 10 Novemba 2015 Abbasov aliitwa kwenye timu ya taifa ya Azerbaijan kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Moldova, [4] ambapo alicheza kwa mara ya kwanza kama mchezaji ziada akiingia uwanjani dakika ya 69 akiingia kwaniaba ya Pavlo Pashayev . [5], Abbasov alifunga bao lake la kwanza kwa Azerbaijan mnamo 29 Mei 2018, kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Kyrgyzstan.[6]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Qəbələ Urfan Abbasovla yollarını ayırdı". gabalafc.az/ (kwa Kiazerbaijani). Gabala FK. 4 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 4 Juni 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "@abbasov_34 ➡️#SBLFC ✔️". facebook.com (kwa Kiazerbaijani). Sabail FK Facebook. 4 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 4 Juni 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Urfan Abbasov «Qəbələ»də". gabalafc.az/ (kwa Azerbaijani). Gabala FK. 9 Juni 2021. Iliwekwa mnamo 11 Juni 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Урфан Аббасов приглашен в сборную Азербайджана". 1news.az/ (kwa Kirusi). 1news.az. 10 Novemba 2015. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Азербайджан завершает год победой над Молдовой". azerisport.com/ (kwa Kirusi). Azerisport. 17 Novemba 2015. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ürfan Abbasov Azərbaycan millisində ilk qolunu vurdu". gabalafc.az (kwa Kiazerbaijani). Gabala FK. 29 Mei 2018. Iliwekwa mnamo 29 Mei 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Urfan Abbasov kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |