Upau hali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Upau hali wa programu ya jiometri.

Katika utarakilishi, upau hali (kwa Kiingereza: status bar) ni sehemu ya kiolesura michoro inayoonyesha ulinzi au habari ya faragha ya mtumiaji.

Upau hali uko chini ya dirisha la tarakilishi na pengine unaonyesha habari kuhusu hali ya dirisha la tarakilishi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).