Unspoken

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Unspoken ni mhusika wa kubuni aliyetengenezwa na kampuni ya filamu ya nchini Marekani ijulikanayo kama Marvel Comics.

Mhusika huyu ni binamu wa Black Bolt; kwa mara ya kwanza alionekana katika filamu iliyoitwa The Might Avenger iliyotengenezwa na Dan Slott, Khoi Pham, pamoja na Christos N. Gage.

Video-x-generic.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Unspoken kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.