Nenda kwa yaliyomo

Binamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Malkia Viktoria na Alberto, binamu na mume wake, wakicheza pamoja mwaka 1842.
Uhalali wa ndoa kati ya watu wanaochanga babu au bibi mmoja.      Halali      Inategemea dini yao      Marufuku      Marufuku inayoweza kuondolewa      Kosa la jinai      Hakuna data

Binamu ni ndugu wa ukoo tofauti, kwa sababu ni mtoto wa mjomba au wa shangazi, si mtoto wa baba mkubwa, baba mdogo, mama mkubwa wala mama mdogo (ingawa kwa Kiingereza hao wote wanaitwa "cousins").

Kuhusu mahusiano na uwezekano wa kuoana kuna desturi na sheria tofauti duniani.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Binamu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.