Black Bolt (Blackagar Boltagon)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Black Bolt ni mhusika wa kubuni anyejitokeza katika vitabu vya hadithi zisizo za kweli za nchini Marekani zilizochapishwa na kampuni ya Marvel comics. Vitabu hivyo vimeundwa na Stan Lee na Jack Kirby.

Kwa mara ya kwanza mhusika huyu alijitokeza katika filamu ya Fantastic four (Disemba 1965).

Ishara ya nguvu ya Black Bolt ni sauti yake.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Black Bolt (Blackagar Boltagon) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.