Ummy Wenceslaus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ummy Wenceslaus (maarufu kama Dokii) ni msanii wa muziki wa Injili na filamu nchini Tanzania.

Alipata umaarufu kutokana na kupenda kwake kuigiza lafudhi ya Kikenya katika michezo ya maigizo na filamu.[1]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

  1. Busu
  2. Faith More Fire
  3. Lonely Heart
  4. Hard Love Moro
  5. Yolanda
  6. Machepele

Marejeo[hariri | hariri chanzo]