Umbo la baobonye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Umbo la baobonye linaloitwa "QWERTY".

Umbo la baobonye (kwa Kiingereza: keyboard layout) ni mpangilio wa vibonyezo vya baobonye la tarakilishi au la taipureta.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)