Taipureta
Taipureta (kwa Kiingereza: Typewriter) ni mashine ya makanika na ya umememakanika inayotumika kuandika herufi kama zile zinazotolewa na kichapishi.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)